Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

(Download) "Siri ya Dhabihu" by Charles Nakembetwa Shamsulla ~ eBook PDF Kindle ePub Free

Siri ya Dhabihu

๐Ÿ“˜ Read Now     ๐Ÿ“ฅ Download


eBook details

  • Title: Siri ya Dhabihu
  • Author : Charles Nakembetwa Shamsulla
  • Release Date : January 24, 2020
  • Genre: Family & Relationships,Books,Nonfiction,
  • Pages : * pages
  • Size : 121 KB

Description

Kila unapotoa sadaka yako iwe kwa yatima, wajane, kanisani au sadaka yoyote Yesu anakuwepo kusimamia mwenyewe binafsi bila kumtuma mtu kuhakikisha njinsi unavyotoa na kutumia sadaka yako kuyasoma na kufafanua maisha yako. Kumbuka kazi zingine alikuwa anawatuma wanafunzi wake kumwakilisha na mifano ipo mingi; alipotaka wakahubiri injili aliwatuma wawili wawili yeye akabaki mjini; alipotaka fedha ya kodi alimtuma Petro akavue samaki yeye alibaki mjini; walipofika mji wa Samaria aliwatuma kwenda mjini kununua chakula cha mchana yeye akabaki kisimani kuongea na mwanamke msamalia; walipomaliza kuhubiri aliwatanguliza wanafunzi wake kwenda ngรกmbo yeye akaenda mlimani kuomba.

Lakini wakati wa kutoa sadaka mambo yalibadilika; hakutuma mtu bali alikwenda kusimamia mwenyenye na kuangalia mmoja baada ya mwingine alivyokuwa akitoa sadaka. Hali hii inaonyesha siri kubwa ya kiroho ya sadaka yako katika ulimwengu wa roho. Kumbuka sadaka yako mbele za Mungu ni tendo takatifu na la rohoni kuliko watu wenavyofikiria. Sadaka sio tendo la kukamilisha mtiririko wa ibada bali ni tabia ya Mungu wetu na sisi watoto wake lazima tuishi maisha hayo.


Ebook Download "Siri ya Dhabihu" PDF ePub Kindle